Recent News and Updates

Tanzania yashiriki Kongamano la Biashara na Uchumi, Istanbul, Uturuki

Tanzania imeshiriki Kongamano la Biashara na Uchumi kati ya Uturuki na Afrika (Türkiye - Africa Business and Economic Forum), ambalo limefunguliwa Oktoba 16, 2025, jijini Istanbul na Mhe. Prof. Dkt. Ömer Bolat, Waziri wa… Read More

BALOZI IDDI SEIF BAKARI AMEFANYA MAZUNGUMZO NA BW. DEODAT MAHARAJ, MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TEKNOLOJIA YA UMOJA WA MATAIFA KWA AJILI YA NCHI ZENYE UCHUMI MDOGO

Tarehe 02 Oktoba 2025, Jijini Ankara, Mhe. Balozi Iddi Seif Bakari alifanya mazungumzo na Bw. Deodat Maharaj, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Teknolojia ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Nchi zenye Uchumi mdogo (LDCs). Katika… Read More

UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA CHEMBA YA WAFANYABIASHARA NCHINI UTURUKI

Istanbul, Septemba 8, 2025 – Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Mhe. Iddi Seif Bakari, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki,  ulitembelea Chemba ya Wafanyabiashara ya Istanbul (Istanbul Chamber of… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in Turkey

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in Turkey